Tuesday, December 1, 2015

SAMAKI AINA YA KAMBARE......KUTOKA KILIMATINDE, WILAYANI MANYONI, MKOANI SINGIDA - TANZANIA.

Nimetumiwa picha hii na rafiki yangu kutoka huko Kilimatinde, akinilingishia...maana anajua mimi mwenyewe nilikuwa navua zamani pale bwawani kwetu Chibumagwa, mitaa ya nyumbani huko Kilimatinde.....asante kwa picha hii.....wapenzi wa kambare karibuni Kilimatinde, kula kambare kwa sana.

No comments:

WATEMBELEAJI