KAZI YAKO NI JINA LAKO
Monday, March 7, 2016
NIPO NA MWALIMU WANGU WA CHEKECHEA, SISTA PIERINA....ALINIFUNDISHA KATIKA CHEKECHEA YA ITIGI, MANYONI - SINGIDA. NAMSHUKURU SANA SISTA PIERINA, MAANA YEYE NDO ALIYEFANYA NIJUE KUSOMA NA KUANDIKA. ASANTE SANA SISTA PIERINA.
1 comment:
Anonymous said...
Mwalimu Tunamwombea Awe Mwenyeheri.
February 6, 2023 at 1:53 PM
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATEMBELEAJI
Web Counters
1 comment:
Mwalimu Tunamwombea Awe Mwenyeheri.
Post a Comment