Sunday, May 22, 2016

MAISHA NI MAFUPI SANA, UKIAMKA ASUBUHI NA MASIKITIKO HAIFAI. KWAHIYO WAPENDE WATU WANAO KUPENDA, SAHAU WALE AMBAO HAWAKUPENDI.


1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeupenda huu usema...kwa kweli ni kweli kabisa na kila iitwayo asubuhi ni lazima tumshukuru Mungu baba.

WATEMBELEAJI