Hatari ya kipofu kumwongoza kipofu mwenzake. Sudani inahitaji kiongozi na sio wababe wa vita, ili nchi yao itulie na isonge mbele kuelekea kwenye maendeleo. Sudani ni nchi inayosifika sana kwa kuwa na wingi wa mafuta, lakini inaponzwa sana na vijitawala uchwara!
Mungu wasaidie kwakweli wapate kiongozi atakae waunganisha zaidi.....huruma sana kwa watoto, akina mama, wazee na walemavu katika haya mapigano mabaya sana. Nchi hii inabidi itazamwe upya, je inastahili kujitawala au la?
No comments:
Post a Comment