Tuesday, July 12, 2016

MSAFARA WA RAIS UNAPO SIMAMA KWAAJILI YA KUPOKEA SIMU MUHIMU.


Pichani inadaiwa Rais Museveni wa Uganda, alisimamisha msafara wake katika eneo la Kyeirumba, Wilayani Isingiro.....ili aweze kuongea na simu muhimu.

- Mpita njia mmoja akampa salamu, naye akairudishia salamu hiyo kwa bashasha.

No comments:

WATEMBELEAJI