Saturday, July 9, 2016

RAIS WETU MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE HUENDA AKACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA.

Rais wetu mstaafu wa awamu ya nne Dr.Jakaya Mrisho Kikwete a.k.a JK, huenda akachaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Jina la Dr.Jakaya Mrisho Kikwete limekuwa miongoni mwa majina matatu yatakayo pigiwa kura na Baraza la Umoja wa Mataifa, Dr.Jakaya Kikwete anapewa nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo. Kwakweli itakuwa ni heshima kubwa sana kwa taifa letu la Tanzania kama akifanikiwa kuchaguliwa katika kiti hicho kikubwa duniani........ hivyo Watanzania wote tumwombee sana Baba Jakaya Kikwete ili aweze kufanikiwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo kubwa ya kimataifa. Mimi binafsi namwombea sana sanaaa...!!!!! Mungu ibariki Tanzania...Mungu ibariki Afrika.

No comments:

WATEMBELEAJI