TUUPENDE UTAMADUNI WETU WA NCHI YETU NZURI YA TANZANIA, KWANI TUNA UTAMADUNI MZURI KILA KONA YA TANZANIA NGOMA NZURI ZINAUNGURUMA IPASAVYO, KULIKO KILA KUKICHA TUNATUKUZA TU TAMADUNI ZA WENZETU, HUU NI UTUMA KABISA!.....HII NGOMA NZURI KUTOKA KWA MAMA YANGU NA DADA YANGU MPENDWA SANA YASINTA.
No comments:
Post a Comment