Thursday, July 14, 2016

WAZIRI MKUU ALIYENG'ATUKA WA UINGEREZA MH.DAVID CAMERON AKIJISEVIA YEYE MWENYEWE MIZIGO YAKE AKIWA ANAHAMA!

Waziri Mkuu wa Uingereza aliyeng'atuka Mh.David Cameron akibeba mizigo yake mwenyewe katika zoezi la kuhama kutoka kwenye makazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza, kwenda uraiani.
- Akina sie walevi wa madaraka; hata Mwenyekiti wa Serikali za mitaa, let alon Waziri Mkuu au kiongozi mwingine wa Kitaifa angetaka watu wengine wamfanyie kazi hii tena kwa amri kali. Jamani tubadilike kwa kuiga mifano hii....ukiwa kiongozi basi usiwe Mungu mtu!

No comments:

WATEMBELEAJI