Monday, August 1, 2016

CIAO GRANDE AMICO MIO RAFAELLE RIPOSA IN PACE - KWAHERI RAFIKI YANGU MPENDWA RAFAELLI, MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI, AMINA!








Ciao Raffaele, sei stato una grande persona, grande amico mio...persona onesta e di gran cuore; resterai nei pensieri di tutti coloro che ti vogliono bene.
Eri un uomo dal cuore grande, mancherai certamente a tante persone.

Ciao carissimo amico fratello Raffaele.....fratello Italiano - Africano. Riposa in pace carissimo Raffaele.


Kwaheri Rafaely, ulikua ni mtu mwema sana, rafiki yangu mkubwa, mtu mwenye roho kubwa mno kwa watu.

Naamini kabisa utakumbukwa na watu wengi sana uliyowapenda sana hasa kwetu Tanzania.

Kwaheri mpendwa rafiki kaka Rafaely....kaka Mwitaliano - Mwafrika.
Lala salama, pumzika kwa amani mpendwa Rafaely.

No comments:

WATEMBELEAJI