Monday, August 1, 2016

MCHEPUKO WA KICHINA UMEZAA MTOTO....BALAA KWELI KWELI!!!!!

Mwanaume mmoja huko nchini Afrika ya Kusini, amejiteketeza kwa moto mara baada ya mkewe kuzaa watoto mapacha wenye asili ya Kichina.
Mke wa mwanaume huyo alikuwa anafanyakazi kwenye Mgahawa wa Kichina.
Kwa kiswahili cha sasa tunasema; mchepuko umeleta kizahazaha na balaa kubwa hadi kusababisha kifo!

Ungekuwa wewe ungechukua hatua hii? Aliyochukua jamaa huyu?

No comments:

WATEMBELEAJI