HAPA NI CESENA TUKIJIANDAA NA SAFARI YA KWENDA PIACENZA....TUPO FULL KWA KILA KITU HAPA MPAKA CHAKULA. MAANA ILIBIDI TULE UWANJANI KABISA KUTOKANA NA WINGI WA WATU...NA UWANJANI SAA TATU TULIKUWA TAYARI TULISHAINGIA, MECHI ILIKUWA SAA KUMI.
NJIANI KUELEKEA MJINI PIACENZA.
HAMADI KATIKA SEHEMU MOJA YA KITUO CHA MAFUTA, MARAFIKI WENGINE NINAO WAFAHAMU SANA WA CESENA TUKAKUTANA.
WAKATI MECHI IKIENDELEA HAPA NI MBWEMBWE ZA BENDELA TUUUU!!!!!!
HAPA TAYARI MECHI ILISHAISHA TUMESHINDA NA TUPO TAYARI DARAJA LA KWANZA (SERIE A), TUNAPAMBA GARI LETU ILI TUANZE KURUDI KWETU CESENA KUENDELEA NA SHEREHE, AMBAPO WATU HAWAKULALA KABISAA!!!!
HAPA MWENYEWE SUKA, BAADA YA DEREVA WETU NA MWENYE GARI KUSHINDWA KABISA KUENDESHA KWA FURAHA ALIYOKUWA NAYO....TUKIRUDI CESENA.
HAPA NI UWANJA WA CESENA....ILIKUWA NI SHIDAAA USIKU KUCHA.
TICKET LANGU LA MECHI HIYO YA KUPANDA DARAJA.
No comments:
Post a Comment