Friday, September 2, 2016
LEO TAREHE 02/09/2016.....NDANI YA JIJI LA ARUSHA, KATIKA KUSETI SETI MASHINE MPYA ZA KIITALIANO KATIKA KIWANDA KIMPYA CHA VIROBA.
Kama ndo ingekua amri yangu mimi...hii pombe ya viroba isingetengenezwa tena, maana inaumiza sana vijana wengi mno. Ila basi ndo maisha, pia ukigeuza upande wa pili wa shilingi hapa watu wengi sana watapata ajila katika kiwanda hiki na watatunza familia zao. Ndio maana hata kwenye pakti ya sigara wameandika kabisa; usivute sigara ni hatari kwa afya yako, wanakwambia waziwazi kazi ni kwako....pia wanywaji wa viroba hamlazimishwi kunywa, ni hatari sana kwa afya zenu ila mtajua wenyewe kabisaaa!!!! Kwa faida yenu na afya zenu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment