Wednesday, October 19, 2016

HII SI MCHEZO.....NI HATAREEEE!!!!!

Mwaka aliofariki Nyerere, toa mwaka uliozaliwa wewe, halafu jumlisha na miaka 17 tangu afariki Mwalimu hadi leo. Jibu utakalopata ni umri wako kabisaa....kama sio umri wako inamaana wewe sio mtanzania halisi. Jaribu ukipata jibu utaniambia, huu sio uchawi lakini!

No comments:

WATEMBELEAJI