Saturday, October 15, 2016

KIPINDI HIKI CHA MAGU SI CHA MCHEZO.....UNATAKA KAZI PANDA HATA KWENYE MATENKI JUU.....MAANA USIJE UKATUMBULIWA!

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, akikagua mradi wa maji katika kijiji cha Mbwilinji.

Chonde chonde Magu....Mungu anakuona, wataanguka hawa wajemeni.

No comments:

WATEMBELEAJI