Unaona jinsi gani wenzetu walivyo hawana shida kabisa kukaribia sehemu muhimu na makini kama hizi, anaishi Malkia kabisaa wa nchi kubwa kama Uingereza lakini unasogea mpaka na kushika geti kabisa anakoishi na kupiga picha kwa raha zako kabisa bila shida yoyote. Sisi ukikaribia tu au kusogea tu jirani na Ikulu au Bunge, ukawa na nia ya kupiga picha tu, utajikuta upo chumba cha mahututi muhimbili.....huwa najiuliza sana ni kwanini?
No comments:
Post a Comment