Thursday, October 6, 2016

UKATILI GANI HUU.....HATA KAMA AMEKOSA KWELI? NI KOSA GANI HILO? HII NI AIBU KABISAA KWA TAIFA LETU! KISEMO CHA MH.WAZIRI MWIGULU NYINYI NI MAJAMBAZI NA WALA SIO WAALIMU KABISAAA!!!!! WALIMU HUA WANA UPENDO KWA WANAFUNZI WAO, SIO UKATILI HUU. ONENI AIBU KABISAAA!!!!


No comments:

WATEMBELEAJI