Wiki la Baba wa Taifa letu la Tanzania, ambapo kilele chake ni siku ya Ijumaa tarehe 14, ni miaka 17 toka amefariki Baba wa Taifa mpendwa sana Mwl.Nyerere.
Tunajivunia sana sanaa kuwa na Baba huyu, pia katika Kanisa Katoliki alishatangazwa siku nyingi kuwa ni Mtumishi wa Mungu.
- Mtumishi wa Mungu Mwl.Julius Kambarage Nyerere....utuombee!
No comments:
Post a Comment