Tuesday, November 29, 2016
HII NDIO AJALI YA NDEGE ILIYOUA WACHEZAJI WA TIMU YA CHAPECOENSE YA BRAZIL.....KWAKWELI NI MAJONZI SANA!
Associacao Chapecoense de Futebol ya nchini Brazil, ambayo imepoteza viongozi wa Klabu, benchi zima la ufundi na wachezaji 22 ( wamepona 2 tu, ambao nao wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya).
Ndege iliyebeba wachezaji hao, ilipata ajali kutokana na hitilafu ya umeme na kuanguka karibu na mji wa Medellin, nchini Colombia.
Timu hiyo ilikuwa ikienda kucheza fainali dhidi ya timu ya Atletico Nacional ya huko nchini Colombia, katika michuano ya Copa Sudamericana (Sawa na Caf Confederation Cup ya Afrika au UEFA Europa League ya Ulaya).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment