Tuesday, November 1, 2016

TRA SI MCHEZO KWASASA....HAWANA UTANI NA MTU YOYOTE KWASASA, SOMA HII HAPA!

Mali zinazomilikiwa na kampuni ya Mohamed Trans Limited....kupigwa mnada na Mamlaka ya mapato nchini, baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la deni la kodi.
Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenda mikoa mbalimbali nchini.

No comments:

WATEMBELEAJI