Na tuubebe Msalaba kwa furaha, katika Msalaba tuishi, na tufe tukiwa na Msalaba.
Chini ya Msalaba ndipo mdhambi anayetubu hupata faraja, ndipo roho iliyo katika mahangaiko hupata ujasiri, ambapo roho iliyotakatifuzwa tayari hupata huruma ya upendo.
No comments:
Post a Comment