Sunday, April 9, 2017

LEO TAREHE 09/04/2017....KATIKA JUMAPILI YA MATAWI, NIKIWA JIMBO KATOLIKI MPANDA- KATAVI......NIMEFURAHI SANA KUSALI PAMOJA NA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA, PAMOJA NA ASKOFU WA ZAMANI WA JIMBO LETU KATOLIKI DODOMA, MHASHAMU GERVAS NYAISONGA...NI FURAHA SANA KWANGU. FURAHA ILIOJE!



























No comments:

WATEMBELEAJI