LEO TAREHE 13/04/2017.....NI FURAHA SANA KWANGU KUKUTANA NA WATU WAKUBWA KAMA HAWA: BABA ASKOFU GERVAS NYAISONGA, ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI MPANDA - KATAVI. NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MH.MIZENGO PINDA....KWAKWELI NIMEJIFUNZA MENGI SANA KWA KUONGEA NAO...NAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUNIPA NAFASI HII.
No comments:
Post a Comment