Saturday, May 6, 2017

JUMAPILI NJEMA SANA KWENU WAPENDWA WADAU WANGU WOTE......PIA TUWAOMBEE WATOTO WETU WALIOPATWA NA AJALI HAPO JANA, HUKO KARATU NA KUPOTEZA MAISHA YAO....MWENYEZI MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI....AMINA!

Tazama ilivyo vyema na kupendeza kuishi mikononi mwa Bwana bila kuhangaika, hii ndiyo kusema; kujiweka kikamilifu chini ya mapenzi yake.

Tusali ili katika kila jambo mapenzi ya Mungu yafanyike. Jikabidhi moyo wako kwa Mungu, kwani ni katika hilo kuna kila kitu.

No comments:

WATEMBELEAJI