Saturday, May 13, 2017

NAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUKAMILISHA PROJECT YA MAJI KATIKA SHAMBA LANGU LA NKULABI, MPUNGUZI - DODOMA. HIVI HATA WANA KIJIJI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA YA KISIMA CHA KISASA! N JAMBO LA KSHUKURU SANA SANAAA....!!!!! SAMAHANI SANA WADAU KWA KUTOKUWEPO MARA KWA MARA KUTOKANA NA UBIZE WA JAMBO HILI LA MAJI.






No comments:

WATEMBELEAJI