Tuesday, October 24, 2017

SIPENDAGI UJINGA MIMI.

Kila nikienda kwenye sherehe ya harusi Wazee wananiambia "Bado wewe tu!"

Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo kila tukutanapo kwenye mazishi.....
Akili yangu naijua mwenyewe, maana sipendagi ujinga mimi.

No comments:

WATEMBELEAJI