Thursday, November 2, 2017

LEO TAREHE 02/11.....NI SIKU YA MAREHEMU WOTE DUNIANI. TUWAOMBEE MAREHEMU WETU WOTE!

Hakuna anayekufa chini ya ardhi hii, akiwa anaishi kwenye moyo wa mtu anayebaki duniani....yaani kwa kukumbukwa na kuombewa.44

Nami naongezea kusema; kweli kuwa mtu akifa hapotei kabisaa, ikawa hawapo nasi ki mwili, lakini kiroho wapo nasi daima.....tuwakumbuke marehemu wetu kwa kuwaombea daima ili waendelee kipata pumziko la milele pia waendelee kutuombea nasi tuliobaki. Mungu azilaze mahali pema peponi marehemu wote.....amana!

No comments:

WATEMBELEAJI