Thursday, December 28, 2017
HONGERA SANAA MAMA MZAZI (BI MKUBWA) KWA KUSTAAFU UALIMU. HAKIKA TOKA MWANZO WA KAZI YAKO HII UMEFUNDISHA WENGI SANA, NA WENGI WAO WAPO KWENYE MAJUKUMU MAKUBWA YA TAIFA HILI. KWASASA UNASTAHILI KUPUMZIKA KWA KAZI NZURI ULIYOIFANYA YA KUELIMISHA JAMII. ULIPOANZA UALIMU HUU MIMI NILIKUWA MCHANGA KABISAA PALE ITIGI, MANYONI KATIKA SHULE YA MSINGI MLOWA-ITIGI. BAADA YA HAPO SHULE YA MSINGI CHIBUMAGWA-MANYONI, NA HATIMAE SASA ULIPO STAAFIA KATIKA SHULE YA MSINGI TEGETA-DAR ES SALAAM. HONGERA SANA MAMA YANGU KIPENZI NA MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA MJEMA KATIKA MAPUMZIKO YAKO YA KUSTAAFU ULIYO YAANZA HIVI SASA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment