HONGERA SANA DADA JANETH MTONYI, KWA KUTULETEA HUDUMA YA AFYA MPUNGUZI. ZAHANATI YA CHIGWIYE MISI....ITATUSAIDIA SANA SANAA WANA MPUNGUZI.
Nami kwasasa ni mwana Mpunguzi, nikitokea Nkulabi...najivunia huduma hii nzuri ya afya. Nakupongeza sana dada yangu kwa wazo zuri kama hili kwa wana Mpunguzi. Asante sana sanaaa!!!!!
No comments:
Post a Comment