R.I.P Pd.Vedasto, poleni sana sanaa waamini wenzangu wa Jimbo Katoliki la Iringa, kwa kuondokewa na mpendwa wetu huyu Fr.Vedasto, ambapo jana usiku alipata ajali mbaya Mkoani Njombe akitokea Songea. Alikuwa akifundisha Peramiho. Nilipata kumfahamu kwa ufupi tu, tulikutana Jimboni Iringa pale Kihesa kwa Baba Askofu, ambapo nilienda kwaajili ya kituo chetu cha watoto yatima cha Makalala - Mafinga.
Mazishi yake siku ya Jumamosi Tosamaganga - Iringa. Punzika kwa amani Baba Vedasto.
No comments:
Post a Comment