Thursday, June 14, 2018

GARI LA MKUU WA WILAYA YA MPWAPWA LAPATA AJALI NIKISHUHUDIA NIKIWA NYUMA YAO, KATIKA KIJIJI CHA BUIGIRI, CHAMWINO IKULU. BASI LA KISBO NDO SABABISHI LA AJALI HII, KIOVATEKI BILA MPANGILIO....MKUU WA WILAYA AUMIA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI YA MKOA DODOMA.


Mwenye kofia nyeupe ni dereva wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa akitoa maelezo juu ya ajali hiyo.

No comments:

WATEMBELEAJI