Thursday, June 21, 2018

HIZI SIMU JAMANI KWASASA NI BALAAA, ZINAINGIA KILA MAHALI....KANISANI NA MISIKITINI. KAMA MIMI JUMAPILI ILIYOPITA NIKIWA KANISANI NIMEKAA NA JAMAA JIRANI ACHA SIMU IANZE KUITA TENA KWA SAUTI KUBWA, KWAKWELI ILINIKERA SANAA SANAAA NA MUNGU ANISAMEHE TU! HIVI USTAARABU NA HIZI SIMU UMESHINDIKANA KABISAA? KWANINI USIACHE NYUMBANI WAKATI WA IBADA?


No comments:

WATEMBELEAJI