Saturday, June 9, 2018

HUU USEMI NI MZURI SANA; NYUMBANI NI NYUMBANI TU, HATA KUWE KAMA PANGONI NI KWENU TU....NAMSIFU SANA DADA HUYU MIRIAM JACKSON, KWA KUSIFIA KWAO NA KIPAONYESHA MTANDAONI, WADADA WALIO WENGI HUJISIFU NA VITU VYA KIFAHARI NA KUPIGA PICHA KWENYE MAJUMBA YA KIFAHARI AMBAYO SIO YAO, NENDA KWAO HASA VIJIJINI UTAONA MAAJABU, NI HERI HUYU ANAE JIKUBALI ALIVYO...HONGERA SANA DADA MIRIAM.


No comments:

WATEMBELEAJI