Friday, June 22, 2018

TULIO WENGI WETU TUNAOGOPA SANA AU TUNAONA AIBU SANA KUONYESHA MAKAZI YETU AU YA WAZAZI WETU HASA HUKO VIJIJINI...KWANINI SASA? NYUMBANI NI NYUMBANI TU HATA IWEJE NI KWENU TU. TUNAONA AIBU KUTOKANA NA MAKAZI KUWA SIO MAZURI, MWONEKANO MBAYA N.K....SASA NDO UPAMBANE ILI UFANIKIWE KUPAWEKA VIZURI IPASAVYO, PIA HIZI NYUMBA SIO AIBU KABISAA KWETU, HIZI NYUMBA NI ZA KIMIRA ZETU...HASA SISI WAGOGO TULIOWENGI TUMETOKEA KWENYE HIZI NYUMBA, ACHA KUONA AIBU WEWE!



No comments:

WATEMBELEAJI