

Hii ajali ilitokea majuzi tu huko Mkoani Iringa, barabara kuu Iringa-Mbeya, na kuuwa mmoja hapo hapo, na wengi wao kujeruhiwa vibaya sana. Hivi hizi ajali za kizembe za mabasi Tanzania zitakuja kuisha lini? Mbona zina teketeza sana watu? Kwanini swala hili lisiangaliwe na kutiliwa mkazo kwa makini?
No comments:
Post a Comment