Saturday, March 21, 2009

HII NDIO HALI HALISI YA USAFIRI NCHINI KWETU TANZANIA.

Kwamtoro to Singida. Hii ndio hali halisi ya usafiri kwetu, Mungu huwa anatulinda sana yaani ana kazi kweli na Africa maana hatari zake ni nyingi kweli, lakini salama. Bongo tambarare.

No comments:

WATEMBELEAJI