Tuesday, January 19, 2010

SASA MVUA ZINANYESHA KWA WINGI NI JEMBE MTINDO MMOJA.

Katika kuokoa maisha yetu ya kiumasikini ni jitihada za kilimo tu kwa nguvu zote, maana hamna jinsi ya kujikomboa. Mvua zinyeshapo vizuri nasi tuzitumie vizuri kwa kilimo.

No comments:

WATEMBELEAJI