Thursday, April 15, 2010

THERUJI NA BARIDI YA TRIPU HII ILIKUWA SI MCHEZO.



Mwaka huu ilikuwa balaa, kwa theruji na baridi ilipitiliza kupita kiasi chake karibu sehemu nyingi za Dunia hii ambako kuna mambo haya. Sasa afadhali tuna hema kidogo, maana ilikuwa si mchezo kabisa.

No comments:

WATEMBELEAJI