Friday, May 21, 2010

ASANTENI SANA KWA SALA ZENU, NIMERUDI SALAMA!




Natanguliza asante zangu nyingi sana kwa sala zenu wadau wangu kwa kuniombea katika safari yangu, hata mimi niliwakumbukeni daima. Kwakweli nimesafiri salama na kufanya kazi vizuri ipasavyo bila shida yoyote. Pia safari ilikuwa nzuri sana hasa wakati wa kurudi nimesindikizwa na hali ya hewa nzuri kijua kidogo, si kama wakati wa kwenda ilikuwa ni mvua kwenda mbele. Asante sana kwa kunikumbuka kwa yote, sasa tupo pamoja tena kuendeleza libeneke letu kama kawaida.
ASANTENI NA KARIBUNI TENA HAPA UWANJANI.
-BARAKA WA CHIBIRITI.

No comments:

WATEMBELEAJI