Monday, May 10, 2010

Dogo Diamond kwasasa anafunika ile mbaya na kibao chake cha; MBAGALA. Mimi naupenda sana huu wimbo, maana una mafunishio makubwa sana ndani yako, na ukweli halisi, ukiwa hauna kitu ndo hivyo tena. Hongera sana Diamond!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeusikiliza huu wimbo mara nyingi sana na kila nmikisikiliza najikuta chozi lanidondoka. jamani kweli penzi ni kidonda. UPENDO DAIMA!!!

Baraka Chibiriti said...

Hata mimi Dada Yasinta, usiseme mpaka huruma.

WATEMBELEAJI