Saturday, May 15, 2010

CESENA YANGU OYEEEE....!!!! LECCE - CESENA. 1-2.

Mchezaji wa Cesena, Malonga kutoka Congo, akishangilia bao lake la pili na wachezaji wenzake, baada ya kuwafunga timu ya Lecce 2-1. Sasa tunamatarajio makubwa ya kupanda daraja. Kuwa daraja la kwanza kwa Italy. Hongera sana Cesena.
Bao la timu ya Lecce, lakini halikuzaa matunda baada ya ushindi wa kishindo wa Cesena kwa bao 2-1, mabao yote mawili yalifungwa na kijana Malonga, kutoka Congo, jana usiku mechi hii ilichezwa. Matarajio ni makubwa sasa ya kupanda daraja la kwanza la Italia (Serie A). Ninafurahi sana maana ni mshangiliaji mkubwa wa timu hii ya Cesena. Pia timu hii ya Lecce itapanda daraja, maana ndio inaongoza ligi hii ya daraja la pili (Serie B).
Forza Cesena....!!!!! Cesena Oyeeee....!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI