Wednesday, May 26, 2010

KA KI VAKESHENI KIDOGO KWA SIKU YA LEO!


Baada ya mizunguko ya hapa na pale ya kusaka maisha, mara moja moja vakesheni kidogo inafaa maana akili zinaweza zikakutoka kwa mambo mengi na mihangaiko. Sasa leo nimepata nafasi walau kidogo ya kutuliza akili na kuupumzisha mwili kidogo. Nimetembelea sehemu ya mlimani Fumaioro na sehemu moja ya bwawa zuri la Pontini - km 70 kutoka Cesena. Basi kwasasa vakesheni imeisha sasa kazi tu mtindo mmoja.

No comments:

WATEMBELEAJI