Thursday, May 13, 2010

KILA MTU AFE NA CHAKE...DUUH HII KALI KWELI KWELI!!!


Duuh..hii kali kweli kweli, mtu chake bwana. Afadhali alale na baiskeli yake sio tena mchumba wake. Jamaa yangu wa hapa Cesena Romano (tunataniana sana) na ni rafiki yangu wa karibu sana, alinitumia hii picha na akaniambia maneno mengi ya utani (sita yasema) Ila moja tu nitalisema, alisema; kwa hali ya sasa ilivyo afadhali ulale na chombo chako unacho kipenda, maana wapendanao wa sasa hawana mwelekeo mzuri sana, hubadilisha mawazo kila kukicha, mara huku mara kule...lakini chombo chako hakiwezi kukusaiti hata siku moja.
-Kazi kweli kweli....!!!!!
(Romi ho ricevuto il tuo mesaggio, grazie mille. anche tu fai come lui miraccomando eeh..!!!)

No comments:

WATEMBELEAJI