Wednesday, May 26, 2010

MR. MOURINHO NA MCHEZAJI MATERAZZI WAKIAGANA KWA HUZUNI.

Kocha wa Inter Milan Mourinho, baada ya ushindi wa kombe la Ulaya (Champions League) mara moja kaaga Timu hiyo ya Inter na kuelekea Madrid. Kwenye Video hii akiagana na mchezaji wa Inter Milan - Materazzi, huku machozi yakiwatoka.

No comments:

WATEMBELEAJI