Saturday, May 22, 2010

NDEGE YAUA 160 NCHINI INDIA LEO ASUBUHI.




Watu wanaokadiliwa kufikia 160, wamekufa baada ya ndege ya kampuni inayomilikiwa na Serikali ya India, (AIR INDIA EXPRESS) kuanguka wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Mungalore kusini mwa Jimbo la India Karnataka leo asubuhi.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria 160 na wafanyakazi wa ndege hiyo wakiwa sita.


No comments:

WATEMBELEAJI