Saturday, May 22, 2010

SEHEMU NILIPO KUWEPO KWA WIKI HII:NILIKARIBISHWA VIZURI.
















Mimi na mwenyeji wangu rafiki yangu Tim, nilikaribishwa vizuri sana na kuishi vizuri kwa wiki hili na kujisikia vizuri sana, na kufanya kazi vizuri, mambo yote yameenda sawa. Nawashukuru sana wenyeji wangu wa hapo WELSBERG. Nategemea kurudi tena huko kwao mwezi wa sita katikati. Asanteni sana kwa yote.





1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

ahsante kwa taswira na kuwa upo salama kila la kheri.

WATEMBELEAJI