Saturday, May 29, 2010

WEEKEND NJEMA NA JUMAPILI NJEMA SANA KWENU NYOTE!

BURUDIKA NA KIBAO HIKI CHA; ADAM NA EVA.

UJUMBE WA LEO;

Kwako Bwana zinatoka sifa zangu, kinywa changu kitayasimlia matendo yako Ee Mungu wangu.

Tazama mimi ninavyo cheza, hiyo yote kazi yako Bwana, tazama ninavyo pendeza hiyo yote ni kazi yako Bwana. Tazama pia elimu yangu, kazi yangu, hii yote ni kazi yako Bwana. Tazama weusi wangu, weupe wangu hii yote ni kazi yako Bwana. Tazama wafadhili wangu, tazama mali zangu, hiyo yote ni kazi yako Ee Mungu wangu.

Tazama Bwana na nguvu zangu, kula kwangu ni kwa jasho langu, hii yote ni kazi yako Bwana Mungu wangu.

-JUMAPILI NJEMA SANA WADAU ZANGU.

WATEMBELEAJI