Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kusafiri salama kabisa, na kuwakuta ndugu jamaa wapo salama. Pia nawashukuruni sana wadau wangu wote, kwa sala zenu. Tupo pamoja daima.
Kamwene Baraka;Makasi? Hapa ndo nyumbani mwana kwetu ukumbuke kale ka msemo ka wasee wa kule Pwani:"JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI".Basi kale kanyama ka asili kasikotajwa jina kanaendelea kutafunwa kimyakimya bila mikimiki. Pamoja we can;thank you sana!!!
5 comments:
Kamwene Baraka;Makasi?
Hapa ndo nyumbani mwana kwetu ukumbuke kale ka msemo ka wasee wa kule Pwani:"JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI".Basi kale kanyama ka asili kasikotajwa jina kanaendelea kutafunwa kimyakimya bila mikimiki.
Pamoja we can;thank you sana!!!
Kumbe kaka Baraka ni mbena? Ok nami namshukuru Mungu kuwa umesafiri salama. Wasalimie wote utakaowaona.
Baraka kafika kwetu lakini haonekani machoni pa wadau wake.
Baraka uko wapi?????????
Hapana Dada Yasinta mimi sio mbena, mimi ni mtoto wa Makao makuu ya chama na serikali, sikuhizi wanasema watoto wa mjengoni.
Ila ninapenda sana mikoa ya Iringa na Mbeya na kusini kote.
Agwe mswano!!
Wasalimie Changombe na Chinangali.
Post a Comment