
Tangia awali Mwalimu ni wa kwanza kupigania Uhuru na kuleta Amani, pia kutetea wanyonge kwa hali na mali. Tangu Tanu hadi leo ametujengea heshima kubwa katika Taifa letu, hatutachoka kukuita na kulitamka jina lako Baba. Tutakukumbuka daima Baba yetu mpendwa wetu wa Taifa letu.
No comments:
Post a Comment