Jamaa huyu Gorikipa..,,, baada ya kufungwa goli la kijinga...akakasirika na kuzila kabisa kwa kutoka uwanjani kabisa, na kusema mimi siwezi kufungwa hivi kijinga...mimi basi sitaki tena natoka kabisa uwanjani! Kazi kweli kweli....!!!!!
Post a Comment
No comments:
Post a Comment