Rafiki Arianna kapata uvumbuzi wa kutengeneza kalenda ya marafiki zake wote na kuweka kila mmoja kwenye siku yake ya kuzaliwa, katika tarehe zao. Nami kaniweka katika kundi hilo; nikiwa namba 5 ya Februari. Rafiki yangu mpendwa sana Cappo akiwa anaongoza namba 1 ya Februari.
No comments:
Post a Comment